Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1678 results for Daudi Elibahati :

  1. PRIME Wakongo waharibu mpango Yanga, watia mkono

    WAKATI Yanga ikiwa na mpango wa kumsajili beki wa kati kutoka Zanzibar, ghafla mabosi wa AS Vita Club ya DR Congo wameibuka na mkakati wa kuhakikisha wanainasa saini ya nyota huyo ili...

    Yanga Pict
  2. KenGold yashusha majembe

    KICHAPO cha mabao 2-0, ilichokipata KenGold juzi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kimezidi kuwaamsha mabosi wa timu hiyo, ambayo kwa sasa inapambana kukinasua mkiani baada ya...

    KenGold Pict
  3. Chirwa, Sey tumaini jipya KenGold

    WAKATI kikosi cha KenGold kikiwa na mchezo jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, mabosi wa timu hiyo tayari wameanza hesabu za kukinusuru mkiani, huku wakianza na majina makubwa ambayo wanaamini...

  4. Namungo matumaini yamerejea

    MSHAMBULIAJI wa Namungo raia wa DR Congo, Fabrice Ngoy amesema ushindi wa mabao 3-2, dhidi ya KenGold, kwa kiasi kikubwa umewapa motisha ya kuendelea kupambana zaidi baada ya kuanza msimu vibaya.

    Namungo Pict
  5. Munthary akoleza vita na Camara, Diarra

    KIPA wa Mashujaa, Patrick Munthary amekoleza vita ya kuwania Tuzo ya Kipa Bora wa Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kufikisha ‘clean sheet’ nane, hivyo kutangaza vita na washindani wake, Moussa...

    Muntary Pict
  6. Gomez kuliamsha Chamazi

    MSHAMBULIAJI wa Fountain Gate, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ huenda akauwahi mchezo wa keshokutwa Jumanne kati ya timu hiyo na Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam, baada...

    Gomes Pict
  7. Ivo awajaza upepo Kipenye, Kipalamoto

    KITENDO cha washambuliaji wa Songea United, Cyprian Kipenye na Ramadhan Kipalamoto kupitia changamoto ya kutokufunga kwa takribani michezo minne ya kikosi hicho, imemuibua kocha mkuu wa timu...

    Ivo Pict
  8. Wanne tu wanatosha Transit Camp

    KAIMU Kocha Mkuu wa Transit Camp, Emmanuel Mwijarubi amesema katika dirisha hili dogo la usajili timu hiyo inahitaji kuongeza nyota wanne katika nafasi mbalimbali, zitakazowasaidia kuwatoa chini...

    Trans Pict
  9. Maniche sasa aja kivingine

    WAKATI dirisha la usajili likifunguliwa rasmi jana kwa ajili ya klabu kufanya maboresho mbalimbali, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma 'Maniche', amesema atazingatia maeneo machache kutokana...

    Awadh Pict
  10. Kocha awaka, kisa kipa wa Azam

    KOCHA wa Tabora United, Mkongomani Anicet Kiazayidi amewaka na kusema ushindi iliyoupata timu hiyo juzi dhidi ya Azam FC, haukutokana na makosa ya kipa wa Wanalambalamba kama inavyosemwa na...

Previous

Page 34 of 168

Next