Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

105 results for Miguel Suleyman :

  1. Dar Kings haishikikii TCA U17

    Dar Kings imeendelea kufunika katika Ligi ya TCA kwa vijana wa umri chini ya miaka 17, kwenye viwanja vya UDSM na Dar Gymkhana, baada ya kuifumua Gairo Kings kwa mikimbio 22.

    Kings Pict
  2. Mastaa wa Gofu watua Dar kuipamba Lina PG Tour

    NYOTA wa gofu kutoka klabu mbalimbali nchini wanaanza kuwasili Dar kuanzia leo kushiriki mashindano ya Lina PG Tour yanayokamilisha raundi ya tano, kwenye viwanja vya Dar Gymkhana.

    Lina Pict
  3. Tanzania, Kenya zaiomba FIA kunusuru ARC

    TANZANIA imeunga mkono ombi la Kenya linalokitaka Chama cha Mbio za Magari Duniani (FIA) kupunguza ada ya kibali cha kuandaa mbio za magari ubingwa wa Afrika sambamba kuwadhamini madereva...

    FAI Pict
  4. Mollel ainusa Dubai, Lina Tour zamu ya Dar

    MCHEZA gofu ya kulipwa kutoka Arusha, Nuru Mollel ana asilimia kubwa ya kwenda Dubai endapo ataibuka mshindi wa jumla kwenye michuano ya Lina PG Tour, inayotarajiwa kuanza wiki ijayo, jijini Dar...

  5. Olomi aipaisha Tanzania gofu Afrika

    NEEMA Olomi ameonyesha kiwango bora kabisa katika michuano ya gofu ya ubingwa wa Afrika iliyomalizka mwishoni mwa wiki mjini Agadir, Morocco baada ya kushika nafasi ya saba kati ya zaidi ya...

  6. Tanzania yapania ushindi gofu Afrika leo

    Wacheza gofu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania wamepania kuianza vyema raundi ya kwanza ya michuano ya gofu ya Afrika inayoanza rasmi leo baada kukamilika kwa mazoezi ya siku tatu katika...

    Gofu Pict
  7. Timu ya taifa ya kriketi yajifua bondeni

    Baada ya mazoezi ya kina kwa kutumia timu za Ruaha na Tarangire, wachezaji wa timu ya taifa ya wanwake ya kriketl imeanza mafunzo zaidi ya kiufundi nchini Afrika ya Kusini.

    Cricket Pict
  8. Caravans haishikiki Ligi ya Mabingwa T20

    Timu ya Caravans inaonekana kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kriketi ya mizunguko 20 baada ya kuwafunga vigogo wa Upanga kwa wiketi 6 katika mchezo uliopigwa jijini mwishoni mwa juma.

    T20 Pict
  9. Watanzania mguu sawa gofu Morocco

    TIMU ya Taifa ya gofu ya Wanawake imeanza rasmi mazoezi ya kuvisoma viwanja vya Klabu ya Taghazout , mjini Agadir kutakapofanyika michuano ya Afrika inayoanza kesho , Morocco.

    Gofu Pict
  10. Kibasu, Ruaha zang’ara TCA

    Ruaha Girls imeibuka mbabe mara mbili dhidi ya Tarangire Girls katika michezo ya majaribio ya kriketi kwa nyota wa kike nchini, kwenye Uwanja wa UDSM, jijini mwisho wa juma.

    Kibasu Pict
Previous

Page 4 of 11

Next