Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

756 results for Nevumba Abubakar :

  1. Opah amfuata Singano Mexico

    NAHODHA wa timu ya Taifa ya wanawake ya Twiga Stars, Opah Clement amejiunga na FC Juarez ya Mexico anayochezea Mtanzania mwenzake, Julietha Singano.

    Opah Pict
  2. Huyu anamkaba Gomez Wydad AC

    WIKI iliyopita Singida Black Stars iliripoti kuwa imemuuza mshambuliaji wake Mtanzania Selemani Mwalimu ‘Gomez’ kwenda Wydad AC ya Morocco.

    Gomez Pict
  3. Aziz KI wa Yanga Princess nje wiki nne

    MSHAMBULIAJI wa Yanga Princess, Ariet Udong anayefananishwa na nyota wa Yanga, Aziz KI atakuwa nje ya uwanja kwa miezi minne akiuguza majeraha ya mguu.

    Aziz Pict
  4. Clara Luvanga avunja rekodi yake Saudia

    MSHAMBULIAJI wa Al Nassr inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini Saudia, Clara Luvanga amevunja rekodi ya msimu uliopita wa kufunga mabao 12.

    Clara Pict
  5. Simon Msuva ataja siri ya ubora wake

    WINGA wa Tanzania, Simon Msuva anayekipiga katika klabu ya Al Talaba ya Iraq amesema uzoefu alioupata kucheza ligi mbalimbali Afrika unamfanya kuwa bora kila siku.

    Msuva Pict
  6. Ismail Mgunda aanza tizi huko AS Vita

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa Mashujaa FC, Ismail Mgunda ameanza rasmi mazoezi ya kuitumikia AS Vita ya DR Congo iliyomsajili hivi karibuni baada ya kukamilisha taratibu zote zilizotakiwa nchini humo.

    Mgunda Pict
  7. Ceasiaa Queens yaongeza wane dirisha dogo

    CEASIAA Queens ya Iringa katika dirisha hili dogo imeongeza wachezaji wanne kwenye maeneo tofauti.

    Ceaseaa pict
  8. Jentrix atavunja rekodi yake Simba Queens?

    KIWANGO kinachoonyeshwa na straika wa Simba Queens, Jentrix Shikangwa huenda akavunja rekodi yake ya msimu 2022/23 wa kufunga mabao 17.

    Shikangwa Pict
  9. Samatta mambo magumu Ugiriki

    NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta mambo yanaonekana kuwa magumu kwa upande wake akiwa na PAOK ya Ugiriki amekuwa akikosa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake hiyo.

    Samatta Pict
  10. 37 wateuliwa kamati za kudumu Coastal Union

    MWENYEKITI wa Klabu ya Coastal Union, Muhsin Ramadhan Hassan, ameteua Kamati ya Kudumu klabuni hapo ikiwa zimepita takribani siku 40 tangu uongozi mpya uingie madarakani.

    New Content Item (2)
Previous

Page 23 of 76

Next