Mnguto ajiuzulu, Karia amsimamisha Kasongo TPLB Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven Mnguto amejiuzulu.
PRIME Mzigo wa Kariakoo Dabi umerudi MZIGO umerudi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa ishu ya Dabi baada ya sasa kutangazwa itapigwa Juni 25 na si keshokutwa Jumapili kama ilivyokuwa awali.
Liverpool yaingia vitani kuisaka saini ya Osimhen LIVERPOOL wamejitosa katika vita ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria Victor Osimhen, mwenye umri wa miaka 26, ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo Galatasaray.
Liverpool tano za Slot akikamilisha usajili wake LIVERPOOL huenda ikawa na sura mpya kabisa kwenye safu ya ushambuliaji baada ya kudaiwa kuwa na mkwanja wa Pauni 300 milioni wa kufanya usajili kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi.
Uhondo wa Kombe la Dunia la Klabu upo hivi FAINALI za Fifa za Kombe la Dunia la Klabu 2025 ni michuano ya 21, lakini safari hii itafanyika kwa mtindo tofauti kama ilivyokuwa kwenye mikikimikiki ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu...
Sheria, teknolojia mpya kupamba Kombe la Dunia la Klabu SHERIA mpya na teknolojia mpya inafanya fainali za Kombe la Dunia za Klabu kuwa na mvuto tofauti kabisa kisoka tofauti na ilivyokuwa imezoeleka miaka ya nyuma.
Kisa Karia, Manara ahojiwa Polisi, aachiwa OFISA Habari wa zamani wa Simba na Yanga, Haji Manara ameshtakiwa polisi na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia.
Thomas Partey atoa ya moyoni KIUNGO wa Arsenal, Thomas Partey amefunguka kuhusu hatima yake baada ya kuonekana katika orodha ya wachezaji waliotangazwa kuwa huru na Arsenal.
Jadon Sancho kuna tatu mezani WAKATI hatma yake ikiwa haijulikani hadi sasa, ripoti zinaeleza kuwa timu tatu za Ligi Kuu England zinainyemelea huduma ya winga Jadon Sancho wa Manchester United.
Luka Modric, Milan wamalizana KIUNGO wa Real Madrid, Luka Modric anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya na AC Milan mwezi ujao baada ya Kombe la Dunia la Klabu kumalizika.