Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1654 results for Daudi Elibahati :

  1. PRIME ‘Uchawi’ wa Ramovic Yanga, upo hapa!

    KOCHA wa Yanga Mjerumani Sead Ramovic ni wazi gari limemwakia baada ya kushinda michezo sita mfululizo ya Ligi Kuu Bara, huku ikionekana akibebwa zaidi na nyota watatu, Clement Mzize, Prince Dube...

    Uchawi Pict
  2. Morrison apewa programu maalumu KenGold

    NYOTA mpya wa KenGold, Bernard Morrison ‘BM3’, huenda akakosa baadhi ya michezo ya kikosi hicho baada ya kupewa programu maalumu za mazoezi na kocha mpya wa timu hiyo, Mserbia Vladislav Heric...

    BM Pict
  3. Bosi mpya Pamba Jiji kuanza na mambo haya

    OFISA Mtendaji Mkuu wa Pamba Jiji, Peter Juma Lehhet amesema mojawapo ya malengo yake makubwa ni kuhakikisha timu hiyo ya jijini Mwanza inasalia Ligi Kuu Bara msimu ujao, huku akiomba zaidi...

    Bosi Pict
  4. Kefa apewa Simba, Kyando apigwa chini

    KAMATI ya waamuzi nchini imefanya mabadiliko ya mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tabora United na Simba.

    Refa Pict
  5. Mahdi afichua siri Kiluvya United

    KOCHA wa Kiluvya United, Zulkifri Iddi 'Mahdi' amesema moja ya malengo ya timu hiyo kwa sasa ni kuendelea kusalia msimu ujao wa Ligi ya Championship, baada ya kuona nafasi waliyopo ni finyu ya...

    Kipa Pict
  6. Haaland, Raizin katika vita mpya

    MSHAMBULIAJI wa TMA, Abdulaziz Shahame 'Haaland' amesema vita yake iliyopo ya ufungaji na nyota wa Mtibwa Sugar, Raizin Hafidh inamfanya kutobweteka bali kuendelea kupambana zaidi, huku akieleza...

    Vita Pict
  7. Nyota Chama la Wana matumaini kibao

    BAADA ya Lucas Sendama kujiunga na Stand United 'Chama la Wana' katika dirisha dogo lililofungwa Januari 15, mwaka huu, mshambuliaji huyo amesema ni wakati sahihi kwake wa kupambana na kuirejesha...

    Stand Pict
  8. Mtibwa Sugar ni mwendo mdundo

    KIKOSI cha Mtibwa Sugar kimeendeleza umwamba baada ya kuichapa Cosmopolitan mabao 3-0 wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Manungu Complex Morogoro, ukiwa ni ushindi wa 14 wa timu hiyo msimu huu...

    Mtibwa Pict
  9. Fundi wa boli arejesha mzuka kikosini KMC

    Msimu wake wa kwanza alimaliza na mabao matatu ya Ligi, ingawa safari hii ameanza kwa kuandamwa na majeraha, huku pia akionyeshwa kadi nyekundu walipochapwa mabao 3-1, dhidi ya Fountain Gate...

    New Content Item (1)
  10. Mkongomani kiroho safi Dodoma Jiji

    Beki huyo wa kati mwenye uwezo wa kucheza upande wa kulia au kushoto kwa ufasaha, alisema haogopi changamoto zozote kwa sasa katika maisha yake, huku akiweka wazi usajili mpya katika dirisha dogo...

    New Content Item (1)
Previous

Page 22 of 166

Next