Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24505 results for tanzania :

  1. Ligi ya Championship utamu umerudi upyaa

    MSIMU mpya wa 2024-2025 wa Ligi ya Championship umerejea tena upya huku makocha wa timu zote 16 zinazoshiriki wakikiri utakuwa na mvuto wa aina yake kutokana na usajili mkubwa uliofanyika wa...

    Championship Pict
  2. Tanzania yapangwa kundi la kifo Afcon ufukweni

    Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni imepangwa katika kundi la vigogo kwenye fainali za Afrika za soka la ufukweni zitakazofanyika mwezi ujao huko Misri.

    Ufukweni Pict
  3. Beki JKT amchomoa Kibwana Yanga

    BEKI wa JKT Tanzania ambaye alipata nafasi ya kucheza Yanga, David Bryson amemtaja Kibwana Shomari kuwa ni beki mzuri lakini anapotezwa na uwepo wa Attohoula Yao.

    Bryson Pict
  4. Mcolombia Azam amvulia kofia Bacca

    BEKI kisiki wa Azam FC, Fuentes Mendosa ameshindwa kujizuia na kukiri kuwa Ibrahim Hamad 'Bacca' anayekipiga Yanga alistahili kuwa beki bora wa msimu uliopita kutokana na aina ya uchezaji wake...

    Fuentes (1)
  5. NMB yaiongezea nguvu Yanga kimataifa

    KUELEKEA mchezo wa marudiano wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CBE SA ya Ethiopia, mabingwa wa Tanzania, Yanga wameitambulisha Benki ya NMB kuwa ni mmoja wa wadhamini...

    NMB PIC
  6. Beki Msenegali amchomoa Fei Toto

    BEKI wa kushoto wa Azam FC, Cheikh Sidibe amesema hakuna mchezaji asiyetamani kucheza na kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kutokana na aina ya uchezaji wake, huku akimpa miaka miwili...

  7. Kagera, KenGold acha tuone na leo

    MSHIKE mshike wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo na michezo miwili itapigwa, huku macho na masikio yakielekezwa Uwanja wa Kaitaba Bukoba kwa mechi kali kati ya wenyeji Kagera Sugar dhidi ya...

  8. Simba, Yanga kuweka rekodi Afrika

    WIKIENDI hii Yanga na Simba zina mechi za kuamua hatma zao katika michuano ya kimataifa kila mmoja akipambania rekodi zake.

  9. PRIME Gamondi: Nataka ubingwa wa Afrika

    BAADA ya msimu uliopita wa mashindano 2023/24 kumalizika, Yanga ikiwa na mataji yote ya ndani, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho (FA) huku katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitikisa...

  10. Nahodha JKT amkingia kifua Ateba

    NYOTA wa JKT Tanzania, Edward Songo amesema moja ya usajili wa wachezaji wa kigeni waliomvutia msimu huu hadi sasa ni mshambuliaji wa Simba raia wa Cameroon, Leonel Ateba aliyejiunga nao...

    JKT Pict
Previous

Page 203 of 2451

Next