Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

24502 results for tanzania :

  1. Yanga Mwendo mdundo!

    WABABE wa soka nchini, Yanga usiku wa jana ilikuwa visiwani Zanzibar kumalizana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikiwa na rekodi...

  2. Fei Toto amkingia kifua Prince Dube

    KIKOSI cha Yanga jana usiku kilikuwa uwanjani kurudiana na CBE SA ya Ethiopia katika mechi ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku mashabiki wakiwa bado wanamuota Prince Dube kwa...

  3. Azam Media haikupaswa kususia ndondi

    MABONDIA, wapenzi wa ngumi na wanamichezo kwa sasa wamepigwa na butwaa baada ya Kampuni ya Azam Media kutangaza haitajihusisha tena na urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya mchezo huo.

  4. Fadlu ala kiapo Kwa Mkapa, Walibya kazi wanayo

    SIMBA inatupata karata muhimu leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya ikihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...

  5. PRIME Dau la Elie Mpanzu Simba

    KAMA ulidhani ni utani, basi utakuwa unakosea, kwani Wekundu wa Msimbazi, Simba wameamua msimu huu kufanya yao na wakati wowote watamtangaza winga mpya, Elie Mpanzu ambaye inadaiwa amevuta...

  6. Mzizima Dabi kupigwa Zenji

    MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya Simba uliopangwa kufanyika Septemba 26, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, kwa sasa utachezwa Uwanja wa New...

  7. Maafande Tanzania Prisons mambo bado

    MAMBO bado hayajawanyookea maafande wa Tanzania Prisons baada ya jana kucheza mechi ya nne mfululizo ya Ligi Kuu Bara bila kupata ushindi wala kufunga bao mbele ya Dodoma Jiji.

  8. Sababu WPL kusogezwa mbele

    MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) uliokuwa uanze rasmi Oktoba 2 baada ya mechi za Ngao ya Jamii zilizokuwa zipigwe kuanzia Jumanne ijayo, umesongezwa mbele na sasa itaanza Oktoba 9, huku...

  9. Challe atuliza presha KenGold

    HALI ni mbaya kwa kikosi cha KenGold ya jijini Mbeya baada ya juzi usiku kupoteza michezo wa nne mfululizo kwa kunyooshwa na Kagera Sugar mabao 2-0 ugenini, lakini kaimu kocha wa timu hiyo...

  10. ELFADHILY: soka lina mengi, Wachezaji mtubu

    NAHODHA wa Tanzania Prisons, Jumanne Elfadhily ametangaza nia ya kustaafu soka, lakini kabla hajafanya hivyo ameamua kuwapa neno wachezaji wenzake kutokana na yale wanayofanya ndani na nje...

Previous

Page 201 of 2451

Next