Laizer atangaza vita mpya TMA BAADA ya kupata pointi nne katika michezo miwili akiwa na TMA FC ya jijini Arusha, kocha wa kikosi hicho, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema maendeleo hadi sasa sio mabaya kwake, licha ya kukiri...
Wanakimanumanu waanza kujipata KOCHA wa African Sports 'Wanakimanumanu', Kessy Abdallah amesema angalau kwa sasa timu hiyo inaendelea kuimarika tofauti na mwanzoni na sababu kuu ni mbili, kuchezea nyumbani na wachezaji kufuata...
Polisi Tanzania Top 4 inawatosha KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora 'Top Four', na wanahitaji sapoti zaidi kutoka kwa mashabiki na...
Magata apania rekodi Mtibwa Sugar KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata amesema anajisikia fahari kucheza ndani ya kikosi hicho msimu huu, huku akiweka wazi mojawapo ya malengo yake makubwa ni kuweka rekodi ya pili...
Vita ya nafasi Ligi Kuu, ukizubaa unashushwa RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba mjini Mwanza kati ya Pamba Jiji dhidi ya...
PRIME Kilichomkuta Bocco Arachuga JKT Tanzania ilikuwa uwanjani jana, Ijumaa, mjini Arusha, lakini katika mchezo huo kulikuwa na ishu kibao, ukiachana na kipigo cha mabao 2-1 ambacho Maafande hao walikipokea kutoka kwa Coastal...
Ahmed Ally ampa Chasambi ujumbe mzito Meneja habari na mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amemtaka winga Ladack Chasambi asivurugwe na bao alilojifunga kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate, leo Februari 6, 2025.
Sillah aipa Azam FC pointi tatu, Kally akaribishwa kwa kichapo MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi, huku nyota wa kikosi...
PRIME Simba hii, ikipata penalti mmekwisha! Yaani kwa kifupi kila timu inayocheza na Simba ni lazima iwe na tahadhari ya kufanya madhambi langoni mwake...
PRIME Ateba ajiweka mtegoni, aibua maswali MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Mbida anaendelea kuonyesha kiwango bora hadi sasa katika michezo ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, huku akiwa kwenye mazingira mazuri ya kuandika rekodi mpya ya...