Luis Enrique ashtukia janja ya Arsenal KOCHA wa Paris Saint Germain, Luis Enrique anaamini Arsenal itatumia mbinu za kupaki basi kama itatangulia kufunga bao la mapema.
Maeneo 9 ya udhamini mpya Simba MKATABA wa miaka mitano wenye thamani ya Sh38.1 bilioni ilioingia Simba na mzabuni mpya, Kampuni ya Jayrutty Investment atakayehusika na zoezi la kubuni, kuzalisha na kusambaza jezi na bidhaa...
Hatma ya Sancho, Chelsea iko hivi KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca alitoa taarifa kuhusu mustakabali wa Jadon Sancho baada ya mchezaji huyo kufunga bao la kusawazisha kwa Chelsea dhidi ya Ipswich Town.
Hansi Flick kubadili falsafa Barcelona KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anaonekana kubadilisha falsafa ya timu hiyo kutoka kumiliki mpira muda wote hadi kupenda kujilinda zaidi baada ya yeye mwenyewe kukiri safu yake ya ulinzi ndio...
PRIME Simba yachonga njia Afrika, mashabiki kuhusika KUNA habari zinazoweza kuendeleza furaha ya mashabiki wa Simba baada ya raha waliyonayo ya kuitoa Al Masry ya Misri na kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Yamal kuharibu mipango ya Arsenal STAA wa Barcelona, Lamine Yamal anadaiwa kuwa kutibua mipango ya Arsenal katika harakati za kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams kwenye dirisha...
HAINA KUFELI: Soka limeokoa maisha ya mastaa hawa SOKA ni moja ya michezo inayolipa sana. Wanasoka wengi wamebadilisha maisha yao kutokana na mchezo huu. Wapo waliotokea katika maisha tofauti na wanatengeneza pesa kutokana na soka.
Slot afichua siri ya Mohamed Salah KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefichua siri ya kinachosababisha ukame wa mabao wa staa wake, Mohamed Salah katika kipindi cha hivi karibuni.
Minziro: Ni ‘do or die’ dhidi ya Tabora United Ijumaa Aprili 4, 2025 kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Mwanza, Minziro amesema mchezo uliopita waliwaangusha mashabiki wao hivyo hawana kisingizio chochote kwenye mchezo wa...
Ancelotti atinga mahakamani, akana mashataka KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amesisitiza kwamba hana hatia wala wasiwasi katika kesi yake inayomkabili ya udanganyifu na kukwepa kodi.