Duh! Bellerin ndo basi tena Wakati wowote anaweza kuingia chumba cha upasuaji kwa lengo la kuzikarabati nyuzi na kuirudishia mahala pake. Katika mechi aliyoumia alitoa mchango mkubwa katika ushindi huo ikiwamo pasi...