Sakho: Naanzia nilipoishia Nyasa Big Bullets kisha kufahamu hatma yake itasafiri hadi Mbeya kucheza mechi ya ligi dhidi ya Mbeya City kisha baada ya mchezo huo itasafiri tena hadi Singida kucheza dhidi ya Singida Big Stars...
Onyango aipeleka Simba TFF STAA aliyerejeshwa kikosini na Yanga dakika za lalasalama za dirisha la usajili, Tuisila Kisinda anatarajiwa kutua nchini muda wowote, lakini beki kisiki wa Simba, Joash Onyango ameibua...
Nabi afunguka ishu ya Morrison KOCHA wa Yanga, Nassredine Nabi amemwangalia Bernard Morrison ‘BM33’ na kusema huyu wa sasa ndiye anayemjua kutokana na kurejea kwenye kiwango chake tofauti na alivyojiunga kwenye maandalizi ya...
Huyo Chama kazaliwa upyaa KIKOSI cha Simba baada ya kurejea nchini kikitokea Sudan kilipoenda kwenye michuano maalumu iliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal, lakini gumzo likiwa ni kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Clatous...
Onyango kimeeleweka Simba IMEISHA hiyo. ndivyo unavyoweza kusema baada ya beki wa kati wa Simba, Joash Onyango kumalizana na mabosi wake Msimbazi, baada ya awali kutaka kusitisha mkataba wake kutokana na kuhitaji...
Akpan, Kapama mambo safi Simba KOCHA wa Simba, Zoran Maki ameanza kuwaelewa mastaa wake wawili, Victor Akpan na Nassoro Kapama. Kwa mara ya kwanza waliitumikia timu hiyo juzi Jumapili usiku kwenye mchezo wa kimataifa kirafiki...
Phiri apata dawa mpya, asema gari limewaka MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Simba, Mzambia Moses Phiri amepata dawa mpya ya kudumu kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Phiri ameweka wazi kwamba yuko fiti kucheza nafasi ngumu zaidi ya moja...
Akpan, Kapama wamkuna Zoran Wachezaji wapya wa Simba, Victor Akpan na Nassoro Kapama wamefanikiwa kumshawishi kocha Zoran Minojlovic, ambaye alishindwa kuwapa nafasi katika mechi yoyopte ya ligi.
Bangala, Moloko wapewa kazi spesho KOCHA wa Yanga, Nassredine Nabi amesema ili kufanya vizuri kama ilivyokuwa msimu uliopita anataka wachezaji kupambana na kushinda dhidi ya timu kubwa kama ilivyo michezo inayofuata na fasta...
Kumekucha... Onyango kung’olewa Simba SIMBA usiku wa jana ilikuwa uwanjani kumalizana na Asante Kotoko na itapumzika kwa siku mbili kabla ya kuivaa Al Hilal Sudan katika mechi za kirafiki za kimataifa zilizoandaliwa na Wasudani...