Ushindi wampa jeuri Kaseja Kaseja alikabidhiwa mikoba iliyoachwa wazi na Melis Medo aliyetimkia Singida Black Stars baada ya timu hiyo kuwa na matokeo mabaya, lakini kipa huyo wa zamani wa kimataifa wa Tanzania alianza na...
CAF yaifungia kwa Mkapa, Simba yatakiwa kutafuta uwanja mwingine SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imelipa siku mbili kuanzia leo Machi 12, 2025 hadi Machi 14, 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutuma jina la uwanja mbadala utakaotumiwa...
PRIME Mzize, Ateba ngoma nzito LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea Ijumaa hii kwa kiporo cha Simba dhidi ya Dodoma Jiji kupigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, lakini huku nyuma kuna vita nzito ya mastraika katika...
Aziz KI, Nouma watemwa Burkina Faso KIUNGO mshambuliaji nyota wa Yanga, Stephane Aziz Ki na beki wa kushoto wa Simba, Valentino Nouma wametemwa katika kikosi cha Burkina Faso kilichotangazwa kuitwa leo Jumatatu na kocha Brama...
Aucho, Mukwala kusaka fainali Kombe la Dunia 2026 KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala wameitwa katika kikosi cha Uganda kinachojiandaa na mechi mbili za kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinazotarajiwa kupigwa...
Mido Biashara United akiri mambo magumu KIUNGO mshambuliaji wa Biashara United, Pascas Wagana amesema wana kazi kubwa ya kukipambania kikosi hicho kubakia Ligi ya Championship, baada ya malengo ya awali ya kuirejesha Ligi Kuu Bara...
Ushindani Azam, Tabora wamshtua kocha Singida KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amezitaja Azam na Tabora United kuwa ndizo timu zinazompa presha kwa sasa kutokana na ushindani uliopo wakiwania nafasi ya tatu ili kupata nafasi ya...
Matano agusia mambo mawili Ligi Kuu Bara BAADA ya kukusanya pointi sita kwenye mechi mbili mfululizo nyumbani na ugenini, kocha mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema nafasi ya kushuka au kupanda katika nafasi kwa timu zote ni...
KenGold yajishtukia, yaipiga mkwara Azam SARE tatu mfululizo ilizopata KenGold katika mechi za Ligi Kuu Bara, zimemshtua kocha wa timu hiyo, Omar Kapilima na kusema ameshakaa na wachezaji na kuwaambia kwa hali yoyote ni lazima wapate...
Mambo yapo huku Ligi Kuu Bara SAFU za ulinzi kwa timu zote sita zinazotarajia kuchuana leo zina vibarua kupunguza makosa kutokana na timu hizo kuchuana kwa safu mbovu kutokana na kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara nyingi.