Search

431 results for Oliver Albert :

  1. PRIME Orlando imeanza hesabu kwa kocha wa viungo Yanga

    KOCHA Nasreddine Nabi ameondoka nchini baada ya kumalizana na Yanga na kama kuna mtu anayetamani kusepa naye atakapomalizana na klabu mpya basi ni kocha wa viungo, Helmy Gueldich aliyefanya naye...

  2. THE MVP - Donisia Minja ana balaa kubwa WPL

    JKT Queens ndio mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) msimu huu wakiwa wamechukua ubingwa bila kupoteza mchezo wowote. Licha ya ubora wa kikosi chao lakini safu ya ulinzi ya timu hiyo ilifanya...

  3. Dakika za jioooni, mabao yao yalivyoleta shangwe Ligi Kuu

    HAIJAISHA hadi iishe kabisa. Ndivyo wanavyosema huko kitaa. Ukitaka kuamini hilo, njoo kwenye michezo na hasa soka ambao unafuatiliwa na wengi. Kuna baadhi ya timu zinamaliza mchezo mapema tu...

  4. Ni JKT Queens au Simba Queens leo

    PAZIA la Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) linafungwa leo kwa mechi tano kuchezwa kwenye viwanja mbalimbali hapa nchini na kubwa linalosubiriwa ni kuona ni timu gani itaibuka bingwa kati ya JKT Queens...

  5. Mayele ataka rekodi Simba, Ruvu zamshinda

    MBIO za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara zinaonekana zimeegemea kwa Fiston Mayele peke yake huku akitamba kutaka kuivunja rekodi yake mwenyewe ya mabao 16 na ya George Mpole aliyemaliza mfungaji...

  6. Mastaa Yanga: Tulistahili ubingwa

    MASTAA wa Yanga tayari wapo Afrika Kusini walipoenda kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants, ikiwa ni muda mfupi tu tangu walipoiwezesha timu...

  7. Mataji mawili yampa mzuka Mudathir

    KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahya juzi alifunga mara mbili wakati Yanga ikiifumua Dodoma Jiji kwa mabao 4-2 na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara, likiwa ni la pili kwa fundi huyo wa mpira...

  8. Siri ya bao la Morrison

    MAOMBI yana nguvu sana, ndivyo unavyoweza kusema baada ya Bernard Morrison kufunga bao la pili kwa Yanga lililopita ushindi wa 2-0 dhidi ya Marumo Giants ya Afrika Kusini.

  9. Nyota wa kigeni wapoteza wazawa

    WACHEZAJI wa kigeni wameendelea kufanya vizuri katika chati ya ufungaji katika michezo mbalimbali ya Ligi Kuu Bara kwa msimu huu unaokwenda mwishoni ukitofautisha na kasi ya wazawa licha ya wao...

  10. Ruvu yahamishia nguvu play off

    NAHODHA wa Ruvu Shooting, Abrahaman Mussa amewataka wachezaji wenzake kupambana katika mechi tatu zilizobaki ili angalau wacheze hatua ya mtoano (Play Off).

Previous

Page 2 of 44

Next