Search

55 results for Jesse John :

  1. KWAKO JESSE JOHN: Ukitaka kwenda peponi ukubali kufa, World Cup tuisikie tu!

    NILIWAHI kuandika makala moja niliyoelezea ugumu wa kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia hususani kwa taifa letu. Ndani ya makala ile yenye kichwa ‘Kwenda Kombe la Dunia ni Ndoto’.

  2. KWAKO JESSE JOHN: Kulikoni? Guu la shingo guu la roho; ama zetu ama zao!

    hiyo kitu kiwango kitashuka jumla jumla! Tusiwe kama dume la nyuki katika kundi la malkia. Hawa hupaa juu sana wakimfikia na kumaliza shughuli dhidi ya malkia hufa moja kwa moja. Nimalizie kwa...

  3. KWAKO JESSE JOHN: Tatizo la Simba ni Gomes au uwiano katika usajili?

    ubingwa zitajilegeze ili wenye uwezo wachukue nafasi zao, hii haitokuwa na maana ya kuwepo kwa ligi. Aidha alinitanabaishia kuwa, ukikosa connection mfano walipokwenda Angola ilibidi kuepuka rungu...

  4. Simba ni mwendo mdundo kimataifa

    WANACHAMA wa Simba wameshuhudia chama lao likianza vyema Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi mnono wa mabao 2-0, dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana.

  5. KWAKO JESSE JOHN: Mvua inyeshe tuone panapovuja Ligi Kuu

    PAZIA la Ligi Kuu lilifunguliwa rasmi takriban wiki mbili zilizopita, huku tukishuhudia ushindani wa uhakika na moyo wa kujitoa mhanga katika kuitafutia ushindi timu pamoja na uhakika wa pointi...

  6. KWAKO JESSE JOHN: Nilichokiona kwa watani 'wenye nchi tabu ipo palepale'

    LICHA ya kuanza kwa Ligi Kuu Bara niwarejeshe kidogo katika pambano la Kariakoo Derby lililopigwa wikiendi iliyopita ambapo mapema kwenye toleo la Septemba 25 niligusia kwa kichwa cha habari...

  7. KWAKO JESSE JOHN: Yanga Day ‘tuvute soksi’ shuguli katika pitch si lelemama!

    ya kuweka mduara na kucheza baringobaringo, inapaswa wajipange kisawasawa, kuoneysha level of commitment, fighting spirit na kuwa aggressive katika kupigania ushindi kwa jasho na damu, vinginevyo...

  8. Kali 5 za Mwalimu Kashasha

    , kwako Jesse John..” LAMINE MORO VS MBEYA CITY Hii ilikuwa mechi ya Septemba 13, 2020 kati ya Yanga na Mbeya City ambapo Mwalimu Kashasha alitangaza bao pekee la Yanga lililofungwa...

  9. Buriani Mwalimu, tangulia Kashasha

    KIUMRI alikuwa zaidi ya baba, lakini ukweli ni kwamba alikuwa ni zaidi ya mwalimu. Namzungumzia mtaalamu, Theogenes Alex Kashasha a.k.a Mwalimu Alex Kashasha.

  10. SURA ZA KAZI EURO 2020

    BEKI wa kati, Harry Maguire wa Man United ndo kwanza ameanza mazoezi mepesi baada ya kuumia katika mechi ya Ligi kuu England dhidi ya Aston Villa, ikiwa ni harakati zake za kujiweka fiti kabla ya...

Previous

Page 2 of 6

Next