Tanzania One wa sasa ni nani? HAKUNA ubishi kuwa kwa sasa makipa Aishi Manula na Ally Mustafa ‘Barthez’ ndio walio bora nchini. Historia ya soka la Tanzania kabla na baada ya uhuru nafasi ya kipa ndio ilikuwa ya kwanza kabisa...