Video YALIYOTIKISA kwenye SOKA 2021 | Chama | Yanga Bingwa | Ronaldo Man U Jumamosi, Januari 01, 2022
Serikali yajivua lawama ‘Kariakoo Derby’ Serikali imejiweka kando kwenye mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ ikisema haiwezi kuingilia mipango ya mpira kwa kuwa inakiuka sheria za ligi.
PRIME Fadlu avujisha meseji za Orlando, Tshabalala naye kumekucha KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amefichua ujumbe alioupokea kutoka kwa mmoja wa maofisa wa juu wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini baada ya kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
PRIME Shughuli imekuwa nzito Chamazi... Azam yarusha taulo MSIMU wa Ligi Kuu Bara ni kama umebakiza mechi zisizozidi tano kwa timu zote kuhitimishwa, lakini kuna harakati kibao zinazoendelea kwa kila timu kuweka hesabu zake sawa katika dakika hizi za...