Video TAZAMA HEKA HEKA ZA WAPINZANI WA SIMBA, WATUA KIMYA KIMYA DAR NA MIZIGO, MECHI YA KISASI... Jumanne, Desemba 10, 2024
PRIME Hamza, Camara waikoleza Dabi Juni 25 MASHABIKI wa soka nchini wameanza kuhesabu vidole kuhusiana na siku ya kupigwa Dabi ya Kariakoo iliyopangwa kuchezwa Juni 25 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam baada ya kuahirishwa...
PRIME TFF na Bodi waitwa mahakamani Dar KUNA kitu kinaendelea Mahakamani kikilihusu Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) na Bodi yake ya Wadhamini.
PRIME Miloud Hamdi: Sasa Simba waje tu YANGA kazi imerudi, kwani kama unakumbuka kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi alitamka hana ratiba na mchezo wa dabi dhidi ya Simba, lakini sasa amefungua faili la mechi hiyo, akisema ameshajulishwa...