Video SIMBA ILIVYOTINGA KIBABE FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA ILIKUWA HIVI.... Jumanne, Aprili 29, 2025
PRIME Yanga ni Mokwena au Mfaransa MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku zoezi hilo likichukua sura mpya baada ya kuamua...
Hizi lebo... Kutoka wasanii kibao hadi ziro KATIKA miaka ya hivi karibuni mastaa ndio hasa wamekuwa wakianzisha rekodi lebo ikiwa ni tofauti na hapo awali ambapo biashara hiyo ilitawaliwa sana na watayarishaji muziki kupitia studio zao...
Kagoma, Mwenda kumuenzi James Bwire KIUNGO wa Simba, Yusuf Kagoma na beki wa kulia wa Yanga, Israel Mwenda ni miongoni mwa wachezaji waliothibitisha kushiriki tamasha la Alliance Day litakalotumika kumuenzi aliyekuwa Mkurugenzi...