Video SHUHUDIA BALAA LA MASHABIKI WA MC ALGER BAADA YA KUIZUIA YANGA, SELF YA KIPRE JR YAWAVURUGA WADAU Jumanne, Januari 21, 2025
PRIME Mpanzu ameanza balaa kaeni kwa kutulia KIUNGO mshambuliaji wa Simba Ellie Mpanzu, ameanza kujipata baada ya juzi kutupia bao la kwanza katika Ligi Kuu Baara, wakati Wekundu wakipata ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Tanzania...
Opah alivyotua kusaka namba Mexico MSHAMBULIAJI Opah Clement wiki hii ametambulishwa FC Juarez ya Mexico inayoshiriki Ligi ya Wanawake nchini humo na kumfanya aongeze idadi ya nyota wa Tanzania wanaocheza ligi hiyo baada ya...
Mpanzu, Chasambi wang’ara Simba ikiichapa Tanzania Prisons Ladack Chasambi na Elie Mpanzu wamekuwa habari ya mjini leo baada ya kuiongoza Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.