PRIME Yanga yamleta Dar beki wa Mazembe BEKI wa TP Mazembe ya DR Congo, Ibrahim Keita yupo njiani kuja jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Yanga inayompigia hesabu kumsajili kwa kikosi cha msimu ujao.
PRIME Percy Tau mezani Yanga DAU la kuvutia walilopata baada ya kuondoka kwa Stephane Aziz KI Yanga, kumeifanya klabu hiyo mapema kuingia sokoni kumsaka mbadala wake ambapo hadi sasa ina majina ya wachezaji wawili walio...
Kiungo Singida agomea mamilioni SINGIDA Black Stars imeanza harakati za mapema za kumuongeza mkataba mpya, kiungo Morice Chukwu, huku Mnigeria huyo akiwagomea mabosi hao, licha ya kuahidiwa donge nono.