Video KIBADENI AITABIRIA SIMBA ZAIDI YA BAO 2 MOROCCO, AIPA NONDO ZA KUKWEPA MTEGO WA RS BERKANE CAFCC Ijumaa, Mei 16, 2025
PRIME Kilichoiua Simba Morocco hiki hapa, yapewa nondo za kuibeba nyumbani MCHEZO wa fainali ya mkondo wa kwanza Kombe la Shirikisho Afrika baina ya RS Berkane dhidi ya Simba umemalizika nchini Morocco kwa wenyeji kushinda 2-0, hivyo kwa sasa ni kuuendea wa marudiano...
PRIME Fainali ya kibabe, Ahoua, Kibu kazi kwao BADO saa chache kabla ya Simba kushuka uwanjani kuvaana na RS Berkane ya Morocco kwenye pambano la kwanza la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku washambuliaji wawili wanaoongoza kwa mabao...
PRIME Fadlu atoa amri kambini kukwepa vita nje ya uwanja SIMBA imeingia siku ya tatu ikiwa Morocco, ikianza kwa kutua Jiji la Casablanca kisha jana ilisafiri kwenda Berkane, kwa ajili ya mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS...