PRIME Shughuli imekuwa nzito Chamazi... Azam yarusha taulo MSIMU wa Ligi Kuu Bara ni kama umebakiza mechi zisizozidi tano kwa timu zote kuhitimishwa, lakini kuna harakati kibao zinazoendelea kwa kila timu kuweka hesabu zake sawa katika dakika hizi za...
PRIME PUMZI YA MOTO: Simba na Mashujaa hazijawahi kutuangusha HEBU tumuweke pembeni kidogo Kefa Kayombo na msaidizi wake namba moja, Neema Wilson Mwambashi walioamua mechi ya Simba na Mashujaa, Mei 2, 2025
Dabi ya Kariakoo yapangiwa tarehe, kupigwa Juni 15 Kwa Mkapa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepanga mechi ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu baina ya Yanga na Simba ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Jumapili Juni 15, 2025.