Yanga bingwa tena, yafikisha pointi 75 YANGA imebeba bingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, baada ya kuichapa JKT Tanzania mabao 3-0, ikijihakikishia ufalme huo siku ya mwisho ya kufunga msimu ikikusanya pointi 75.
Arsenal yapoteza mtu nyuma ya Mikel Arteta KUNA mabadiliko mengine ya kiutendaji nyuma ya pazia katika timu ya Arsenal, huku msimu wa majira ya kiangazi wa kuondoka kwa baadhi ya wafanyakazi ukiendelea.
Enzo Maresca aanza na pigo Man City JANA, siku ambayo alitangazwa kuwa kocha mpya wa Manchester City, Enzo Maresca, alianza kwa kupokea habari mbaya kuhusu kikosi chake ikielezwa kwamba kiungo na mshindi wa Ballon d’Or 2024...