PRIME Sowah, Mukwala waingizwa vitani Sauzi KITENDO cha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kujiandaa kuachana na straika Ranga Chivaviro, kumeibua vita mpya kwa nyota wanaokiwasha katika Ligi Kuu Bara, Jonathan Sowah wa Singida Black Stars na...
Majeraha yamtibulia Kachwele Marekani STRAIKA wa Whitecaps FC anayecheza kwa mkopo Vancouver Whitecaps inayoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), Cyprian Kachwele amesema msimu huu ameuanza vibaya baada ya kupata majeraha ya nyama za paja.
Pina amaliza msimu kibabe, aziita timu mezani MSHAMBULIAJI wa timu ya Mlandege, Abdallah Iddi 'Pina' amesema malengo aliyojiwekea msimu huu wa 2024-25 ikiwemo timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) na kuwa mfungaji bora wa ligi...