Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Watanzania sasa wanaweza kushinda papo hapo kwa TSh 100 tu – Tatu Pesa kutoka SportPesa yazinduliwa

New Content Item (1)

Muktasari:

  • Kwa Shilingi 100 tu, sasa Watanzania wote wanaweza kuonja msisimko wa kushinda papo hapo kupitia simu zao za mkononi, bila haja ya intaneti.

Katika hatua ya kuburudisha wapenzi wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, kampuni ya SportPesa inawakaribisha wote kucheza mchezo mpya wa kusisimua mpya wa kusisimua uitwao Tatu Pesa.

Tatu Pesa ni mchezo wa haraka, nafuu na unaotoa fursa ya kushinda papo hapo kwa kuchagua boksi moja tu la bahati.

Kwa Shilingi 100 tu, sasa Watanzania wote wanaweza kuonja msisimko wa kushinda papo hapo kupitia simu zao za mkononi, bila haja ya intaneti.

Tatu Pesa ni nini? Chagua Sanduku moja – Na ushindi wako upo hapo

Tatu Pesa ni mchezo wa bahati unaokuwezesha sanduku sahihi moja kati ya matatu, ambapo moja linahifadhi ushindi. Mteja anapochagua sanduku sahihi, anashinda papo hapo – na kinachovutia zaidi ni kwamba matokeo yanaonekana mara moja kwenye skrini ya simu yako.

Hii ni nafasi ya pekee kwa Watanzania kujishindia zawadi kwa haraka na kwa bei nafuu, bila kutumia data wala kuwa na simu janja.

Jinsi ya kushiriki Tatu Pesa

Kushiriki ni rahisi mno. Fuata hatua hizi:

  1. Piga *150*87# kwenye simu yako
  2. Chagua kipengele namba 8 – Shinda Fasta
  3. Kisha chagua kipengele namba 2 – Tatu Pesa
  4. Chagua sanduku lako la bahati, bluu, kijani au nyekundu sanduku lako na Bahati-bluu, kijani na nyekundu.
  5. Utapata matokeo papo hapo kwenye skrini ya simu yako.
  6. Ikitokea kwamba hujashinda, usikate tamaa, endelea kucheza/jaribu bahati yako kwa kucheza tena.

Matokeo yanatolewa mara moja, na ushindi wako utaonyeshwa papo hapo, bila kuchelewa.

Nafuu na inapatikana kwa kila Mtanzania

Kwa kiwango cha chini cha TSh 100, Tatu Pesa inalenga kuwafikia Watanzania wote.  Ukiwa kazini, nyumbani au safarini, unaweza kucheza na kushinda - papo hapo.

Mchezo huu umebuniwa kwa uwazi na haki. Ushindi wa kasino hutegemea sanduku ulilolichagua na masharti yaliyowekwa na SportPesa.

Kwa nini Watanzania wanapenda Tatu Pesa?

  • Matokeo ya papo kwa papo
  • Dau la kushiriki nia Tsh 100 tu!
  • Hauhitaji intaneti wala simu janja kucheza
  • Ni rahisi kucheza na mchezo ni wakusisimua

Cheza sasa na ushinde papo hapo

Kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya kubahatisha au umezoea kushiriki, Tatu Pesa ni mchezo wa kusisimua unaokupa fursa ya kushinda bila usumbufu. Na uzuri zaidi? Unahitaji simu tu – hakuna app, hakuna data!

Piga sasa *150*87#, chagua Shinda Fasta > Tatu Pesa, na ujaribu bahati yako.

Tembelea SportPesa Tanzania kwa maelezo zaidi na michezo mingine ya kusisimua.

Je, sanduku lako la bahati ni lipi leo?