Usajili: Yanga yanasa 32, Simba nane wakigeni

Muktasari:
Simba iliyoweka rekodi ya kusajili wachezaji tisa, lakini kitendo cha kuipoka tonge Yanga kwa kumsajili mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere kulitawala vyombo vya habari.
Dar es Salaam. Dirisha la usajili kwa timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19 likifungwa jana usiku kwa kila klabu kuwasilisha majina ya wachezaji wake TFF.
Simba iliyoweka rekodi ya kusajili wachezaji tisa, lakini kitendo cha kuipoka tonge Yanga kwa kumsajili mshambuliaji wa Gor Mahia, Kagere kulitawala vyombo vya habari.
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba imetumia vema dirisha la usajili ikimaliza kazi mapema na tayari wachezaji wake wapo nchini Uturuki kwa maandalizi ya msimu mpya wa ligi.
Simba inayojipanga kwa ajili Ligi ya Mabingwa Afrika mbali ya kubaki na sehemu kubwa ya wachezaji iliokuwa nao msimu uliopita imewasajili wapya tisa ambao ni: Marcel Kaheza, Adam Salamba, Mohammed Rashid, Meddie Kagere, Pascal Wawa, Deogratius Munish ‘Dida’, Cletus Chama na Abdul Seleman, Hassan Dilunga.
Yanga ilifanikisha kukamilisha usajili wa wachezaji wake akiwemo nahodha Kelvin Yondani pamoja na kipa Nkizi Kindoki Klaus kutoka Racing de Kinshasa na mshambuliaji Heritier Makambo wa FC Lupopo.
Mabingwa wa Kombe la Kagame, Azam FC chini ya kocha mpya Hans Pluijm imefunga usajili kwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa zamani wa Simba na Fanja FC ya Oman, Danny Lyanga aliyesajiliwa.
Wachezaji wengine waliosajiliwa na Azam FC ni pamoja na Mudathir Yahya, Ditram Nchimbi, Nicco Wadada, Hassan Mwasapili, Donald Ngoma na Tafadzwa Kutinyu.
Simba
Aishi Manula, Deogratius Munishi ‘Dida’, na Ally Salim
Shomali Kapombe, Asante Kwasi, Mohammed Hussein, Nickolas Gyan, Paschal Wawa, Erasto Nyoni, James Kotei, Yusufu Mlipili, Paul Bukaba, Vicent Costa, Salim Mbonde.
Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Cletus Chama, Haruna Niyonzima, Hassan Dilunga, Mohammed Ibrahim, Marcel Kaheza, Abdul Hamis, Rashid Juma na Said Ndemla
Emmanuel Okwi, John Bocco, Middie Kagere, Adam Salamba na Mohammed Rashid
Yanga
Klaus Kindoki, Youthe Rostand, Ramadhan Kabwili, Beno Kakolanya,
Juma Abdul,Mwinyi Haji,Gadiel Michael,Kelvin Yondani, Andrew Vincent, Abdallah Shaibu, Cleofas Sospeter
Papy Kabamba, Kamusoko Thaban, Raphael Daud, Maka Edward, Said Makapu, Feisal Salum, Deus Kaseke, Emmanuel Martin, Juma Mahadhi, Pato Ngonyani, Paulo Godfrey.
Matheo Anthony, Mrisho Ngassa, Amis Tambwe, Ibrahim Ajib, Heritier Makambo,Yusuph Mhilu, Baruan Akilimali, Said Mussa, Yohanna Mkomola.
Mbeya City
Owen Chaima, Fikirin Bakari, Haroun Mandanda, John Kabanda, Keneth Kunambi , Haruna Shamte, Majaliwa Shaban, Mpoki Mwakinyuke, Erick Kyaruzi, Ally Lundenga, Ramadhan Malima na Ibrahim Ndunguri
Wengine ni Medson Mwakatundu, Babu Ally, Seleman Ibrahimu, Aboubakary Shaban, Mohammed Samata, Hamidu Mohammed, Eliud Ambokile, Iddy Seleman, Frank Iikobela
Pia wapo Victor Hangaya, Daniel Jolam, Chunga Said, Godfrey Milla, Mohamed na Peter Mapunda
Mtibwa Sugar
Shabaan Kado, Abuutwalib Mshery na Benedict Tinocco
Salum Kanoni, Rodgers Gabriel, Issa Rashid, Hassan Timbe, Cassian, Dickson Daud, Hassan Isihaska, Ally Shomary, Husein Idd
Shabaan Nditi, Henry Joseph, Issa Kajia, Saleh Khamis, Ayoub Semtawa , Ally Makalani, Awadh Juma, Salum Kihimbwa, Ismail Mhesa, Haruna Chanongo
Riphat Khamis, Hussein Javu, Kelvin Sabato, Jaffary Kibaya, Juma Luizio, na Stamil Mbonde.
Lipuli
Mohamed Yusuph, Shaban Zubery Ada, Emmanuel Kichiba, Fredy Sangolo, Malim Busungu, Paul Ngalema, Mussa Chibwabwa, Seph Rashid, Willium Lucian na Issah Rashid
Pia wapo Miraji Athuman, Paul Nonga, Jamal Mnyate, Abdul Yusuph, Zawadi Mawia, Daruweshi Salibobo, Stephen Maganga, Ally Mhoni
Wengine ni Ibrahim Job, Jimmy Shoji, Novatus Lufunga, Job Mbululo, Keneth Masumbuko na Joseph Owino.
Biashara United
Hassan Abdallah, Balora Nourdine, Stanley Sebastian, Joseph Mapembe, Sospeter Maiga, Derrick Musa, Lenny Vedastus, Godfrey Malibiche, Abdul Madjid, Lameck Chamkaga, Meshack Abel, Kazee Maginga, Edgar Bwire na Frank Sekule
Carlos Protus, Mohamed Soud, Taro Donald, Kauswa Benard, Wilfried Nkourouma , Noel Makunja, Juma Mpakala na God Mapunda ‘Messi’
Songa Jared, Amos Astin, Alex Francis, Mpapi Nasib, Danny Manyenye, Lambele Jerome, Macha Reward, Uhuru Selemani
Alliance FC
Said Rubava, Ibrahim Isihaka, Kelvin Richard, Godfrey Ndumule, Israel Patrick, Hans Masoud, Kelvin Kindwanga, Joseph James, Wema Sadock, Godfrey Luseke na Nteze John.
Wengine ni Shaban William, Juma Nyange, Ismail Zumma, Samir Vicent, Richard John, Martin Kiggy, Maganda Nchembe, David Richard.
Pia wapo Siraji Juma, Jamari Soud, Mapinduzi Balama, Zabona Khamis, Rashid Ruava, Rajabu Ramadhan, Juhudi Philimon, Chinedu Michael na Weyaka Tatue
Singada United
Mustapha Ally Bartez, Peter Manyika Jr, Kissu David, Miraji Adam, Shafik Batambuze, Jamal Mwambeleko, Kenny Juma, Salum Kipaga, Salum Chuku, Rajab Zahir, Swalehe Abdallah na Elisha Muroiwa.
Wengine ni Yusuph Kagoma, Kazungu Mashauri, Diaby Amara, Kenny Ally, Awaso Juma, Issa Makamba, Ally Ng'anzi, Nizar Khalfan, Rashid Simkoko, Habibu Kyombo na John Tiber.
Pamoja na Libinda Mundia, Athanas Mdamu, Assad Juma, Mohamed Tello, Eliyesia Sumbi, Eliuter Mpepo, Hans Koffie, Benedict Jr , Geofrey Mwashiuya, Frank Zakaria na Mohamed Titi
Mbao FC
Bruno Thomas, Hasheem Mussa, Kelvin Igendelezi, Mussa Mussa, Raphael Siame, Pastory Athanas, Evarigestus Mujwahuki, Peter Mwangosi, Elias Zamfuko, Emanuel Mtumbuka, na Roland Musonja.
Wengine ni Ndaki Robert, Rajesh Kotecha, Vicent Philipo, Yusuph Amos, Yusuph Mgeta, David Mwassa, Said Said, Helbert Lukindo, George Sangija, Abdulkarim Segeja, Amim Abdul, Amos Charles, Ibrahim Njohole, Ally Kombo, Hussein Kasanga.