Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kisa Yanga, mwanamke amgomea mtu Kariakoo

Muktasari:

  • Mama huyo akiwa na baba huyo ambaye alionekana kama ni mumewe hivi walikuwa pamoja lakini alipouona msafara wa Yanga aligoma kuendelea na safari akimtaka mwenzie akimtaka kwanza wasimame ili ashangilie sambamba na mashabiki wa timu hiyo.

USHABIKI wa soka sio mchezo aisee. Mama mmoja amejikuta akitofautiana na baba mmoja waliyekuwa wameambatana baada ya kuuona msafara wa Yanga.

Mama huyo akiwa na baba huyo ambaye alionekana kama ni mumewe hivi walikuwa pamoja lakini alipouona msafara wa Yanga aligoma kuendelea na safari akimtaka mwenzie akimtaka kwanza wasimame ili ashangilie sambamba na mashabiki wa timu hiyo.

Baada ya maamuzi hayo, baba huyo ambaye hakupatikana jina lake alionekana kuwa na hasira kisha kuondoka, huku akiwa amekunja uso akimuacha mama huyo akiwa na mfumo wake ulikuwa na vitu ndani akiendelea kui

shangilia.

Hata hivyo, baba huyo hakwenda umbali mrefu alirudi tena kumsisitiza mwenzake waendelee na safari na mama huyo kumtaka asubiri kwanza msafara huo upite.

Wakati wawili hao wakiwa wanapishana kwa maamuzi msafara wa Yanga hasa basi la wazi lililobeba kikosi cha timu hiyo lilikuwa limesimama kwa muda wakati askari wakiwataka mashabiki kutembea kwa haraka kupunguza msongamano