Ramadhan Elias

Ramadhan Elias amesoma kozi mbalimbali za kitaaluma ndani na nje ya nchi kuhusiana na uandishi wa habari za michezo, burudani na kijamii.

Connect with Ramadhan Elias:

Mwandishi wa habari za michezo na burudani katika kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL). Mbali na habari za michezo na burudani pia ni mwandishi wa habari za kijamii. Ni muhitimu wa shahada ya uandishi wa habari na mawasiliano ya umma na amefanya kazi MCL tangu Agosti, 2019.

Twitter: Leftwriter_
Instagram: leftwriter_