Nyota wa Manchester United Cristiano Ronaldo ambaye alikuwa anatarajia kupata watoto mapacha ametangaza kuwa mtoto mmoja wa kiume amefariki wakati wa kujifungua.
Ronaldo anasema ni masikitiko makubwa lakini kuzaliwa kwa mtoto mmoja wa kike kunawapa nguvu na matumaini.