ePaper

Mwanaspoti

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha

  • ePaper

    • Mwanaspoti

Breaking News: Fei Toto, Yanga kimeeleweka

Picha

DTB rasmi yapanda Ligi Kuu Bara

Ijumaa, Septemba 30, 2022

TIMU ya DTB imefanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya leo kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Pamba, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Bao la timu hiyo lilifungwa na Joel Madondo dakika ya 75, aliyeingia kipindi cha pili akichukua nafasi ya Tafadzwa Kutinyu ambaye hakuwa na mchezo mzuri.
DTB inashika nafasi ya kwanza na pointi 65 baada ya kucheza michezo 28, ikishinda 20, sare tano na kufungwa mitatu, huku Pamba inasalia nafasi ya tisa na pointi 36, baada pia ya kucheza michezo 28.

Photo: 1/5   

Photo: 2/5   

Photo: 3/5   

Photo: 4/5   

Photo: 5/5   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

In the headlines

  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Dejan atoa sababu tatu, sinema nzima ilikuwa hivi...

    ‘KWAHERI Mzungu...Kwaheri Mzungu...ndio kibwagizo kilichosikika mchana wa jana wakati, straika wa Simba, Dejan Georgijevic alipowasili Bandarini Jijini Dar es Salaam, akitokea visiwani Zanzibar...

    Soka Sep 30
  • Bangala amkaushia Ibenge

    KIRAKA wa Yanga, Yannick Bangala, amevunja ukimya na kuwatumia salamu mashabiki wa klabu hiyo kuwa, iwe isiwe ni lazima chama lao litinge makundi, huku akimfungia vioo kocha wake wa zamani...

    Soka Sep 30
  • Siku 52 za Dejan Simba, kisa cha kuondoka

    Nyota huyo aliondoka kambini kwenda Bandarini kwa ajili ya kurejea Dar es Salaam alikofika saa 8:30 mchana kisha alikwenda ofisi za Simba kukamilisha taratibu zake za kumalizana na timu hiyo ili...

    Soka Sep 29

All Top Stories
  • Soka
  • Burudani
  • Kolamu
  • Spoti Majuu
  • Spoti Kenya
  • Video
  • Picha
  • Contact us
  • Webmail
  • ePaper
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwanaspoti © 2023

Decoration