Huruma siyo malezi! Yanga yawabamiza Wamadagascar Chamazi MABINGWA wa Ligi Kuu NBC, Yanga ikiwa katika kiwango cha juu, leo ilitumia msemo wa huruma siyo malezi baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA ya Madagascar katika mchezo wa...
Katwila aanza presha Geita Gold KOCHA Mkuu Zuberi Katwila, ameingia kwenye wakati mgumu baada ya kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Dodoma Jiji, huku mabosi wa timu hiyo wakipanga kikao cha dharura leo kutaka kujua kinachoendelea...