Prince Dube aishi kifahara dar, aiponza Yanga MWANASPOTI linajua vigogo walio karibu na Yanga wamempa maisha ya kifahari staa anayepambana kuvunja mkataba na Azam, Prince Dube lakini klabu imeingia msituni kwa staili ya tofauti. Dube kwa...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers