Search

893 results for Thomas Ng'itu :

  1. PRIME Wakongwe wa dabi hawa hapa

    Jumapili nyasi za uwanja wa Mkapa zitakuwa na shughuli nzito kwa kuwakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga mchezo utakaochezwa saa 11:00 jioni.

    New Content Item (1)
  2. Nyota wa kuchungwa Kariakoo Derby

    Joto na presha kubwa ni katika mchezo wa watani wa jadi Jumapili kutokana na namna ambavyo timu zote kwa sasa zimekuwa na matokeo mazuri. Yanga ndiye kinara kwenye Ligi ikiwa na pointi 18 katika...

  3. Balozi wa Uingereza afanya ziara Yanga

    BALOZI wa Uingereza, David Concar amefanya ziara katika ofisi za Yanga zilizopo Salamander Tower leo mchana.

  4. PRIME Wageni wabeba lawama Kariakoo Derby

    Idara ya kiungo ya Yanga ndio imekuwa tegemeo katika kuipatia mabao timu hiyo kwenye Ligi Kuu hadi sasa kama ilivyo kwa ile ya ushambuliaji ya Simba katika mechi ambazo kila timu imeshacheza hadi...

  5. PRIME Mabeki Simba, Ihefu katika mzani

    Safu za ulinzi za Simba na Ihefu zina kazi ngumu ya kuzibabe timu zao wakati zitakapokutana leo katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 usiku kutokana na mwenendo...

  6. PRIME Yanga full mziki, Singida yafunga busta

    KWA vikosi na takwimu zilivyo leo lazima mtu aseme sana kwenye Uwanja wa Mkapa, Yanga itakavyowakabisha Singida kwenye mechi ya Ligi. Dakika 90 za leo kuanzia saa 12:15 jioni, zitakuwa na majibu...

    New Content Item (1)
  7. PRIME Onana, Konkon washtua Bara

    Dar es Salaam.Mshambuliaji Willy Onana wa Simba na Hafidh Konkon wa Yanga wameshtua kutokana na muenendo wao wa kusuasua katika timu zao licha ya kuwa na rekodi nzuri walipotoka. Onana...

  8. Ngoma, Kanoute wamkosha Robertinho

    KOCHA wa Simba Oliveira Robertinho amefurahishwa na namna ambavyo wachezaji wake walipambana jana licha ya kuondolewa kwenye michuano. Simba jana ilikuwa mgeni wa Al Ahly ya Misri katika mchezo...

  9. PRIME Simba yatupwa nje AFL, mabao ya Kwa Mkapa yawaponza

    WAKATI Dunia ikiwa haiamini, Simba wamewaonyesha kuwa kila jambo kwenye soka linawezekani, licha ya wachezaji wa klabu ya Simba kupambana ndani ya dakika 90 na kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Al Ahly...

  10. PRIME Sajili hawa dirisha dogo

    MOTO wa Ligi Kuu Bara bado haujakolea vizuri kutokana na ratiba ilivyo na mwingiliano wa mashindano mbalimbali, lakini hilo halijaondoa taswira kwa makocha wa timu za ligi hiyo namna...

Previous

Page 4 of 90

Next