Search

267 results for Mwanahiba Richard :

  1. PRIME Phiri: Simba ichukue uamuzi mgumu kwa Chama

    Wakati kiungo Clatous Chama akisubiri kufikishwa Kamati ya Nidhamu baada ya kusimamishwa na uongozi kwa madai ya utovu wa nidhamu, kocha wa zamani wa timu hiyo, Patrick Phiri amesema mabosi wa...

  2. PRIME Kilichomponza Chama hiki hapa

    WAKATI kilichowaponza viungo Clatous Chama na Nassoro Kapama hadi kusimamishwa na viongozi wa Simba kwa utovu wa nidhamu, mapya yameibuka baada ya mshambuliaji Moses Phiri kutajwa amevunja...

  3. Simba, Azam baada ya Afcon

    KILE kiporo cha Simba na Azam kilichotarajiwa kupigwa Januari Mosi hakitapigwa tena sambamba na mechi nyingine za viporo kutokana na Bodi ya Ligi (TPLB) kuweka bayana kuwa ni ngumu kucheza kwa...

  4. Skauti Simba yupo kazini

    MEI, mwaka huu, Klabu ya Simba ilimtangaza skauti mkuu wa wachezaji, Mels Daalder ambaye ni raia wa Uholanzi ingawa hapo awali alikuwa akifanya na uongozi wa timu hyo kwa kuuletea...

    New Content Item (1)
  5. Makipa waliopata vichapo vikali

    KIPA kufungwa mabao mengi inawezekana ni jambo la kawaida kwenye michezo mingine lakini katika soka huacha kumbukumbu mbaya na anayeachiwa rekodi mbovu zaidi ni kipa anayefungwa mabao...

  6. PRIME Kweli zinatisha ila zinafungika

    HUENDA ulikuwa hujui. Sasa sikia hii. Michuano ya Klabu Bingwa Afrika (sasa Ligi ya Mabingwa Afrika) wakati inaanzishwa rasmi mwaka 1964-1965, timu za Afrika Magharibi na zile za Kati ndizo...

  7. Simba mpya inakuja

    BODI ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti wao Salim Abdallah ‘Try Again’ juzi ilikutana na wanachama waandamizi na kuafikia ajenda mbili za kufanyiwa kazi haraka. Kikao hicho ambacho...

  8. Pazi yaanza kusaka tiketi Road to BAL

    PAZI inatupa karata yake ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Klabu Bingwa Afrika (BAL) leo Jumanne itakapocheza na timu ya NBA Junior Academy. Mashindano hayo ambayo ni hatua ya pili ya...

  9. Hasheem aita mashabiki

    NYOTA wa kimataifa wa mpira wa kikapu nchini anayeichezea Pazi, Hasheem Thabeet amewaomba Watanzania wanaoishi Afrika Kusini kujitokeza kwa wingi na kuwapa sapoti watakapokuwa nchini humo. Pazi...

  10. PRIME Simba yaibeba Pazi BAL

    UONGOZI wa Klabu ya Simba, umeruhusu Daktari wa timu ya wanawake (Simba Queens), Lanina Munisi kwenda kutoa huduma ya kitabibu kwenye timu ya mpira wa kikapu ya Pazi. Pazi inajiandaa na...

Previous

Page 2 of 27

Next