Hiyo UEFA ni uongo mtupu, mwamuzi aomba radhi Mashabiki wa soka Ulaya wamekasirishwa na waamuzi wa mechi za nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa barani humo na kudai mechi zote zimepangwa baada ya Bayern Munich kukataliwa bao lao la kusawazisha...