Barnaba ni gofu na tenisi NJE na muziki anaoufanya msanii wa Bongofleva, Barnaba amesema anapenda kuufuatilia mchezo wa gofu na tenisi kwa sababu unachezwa na watu wa sekta mbalimbali, hivyo anaona ana kitu cha kujifunza...
Chukwu amtaja Aziz KI, afunguka dili la Yanga MORICE Chukwu ni majina ambayo yalitikisa wakati wa dirisha dogo la usajili akihusishwa na timu mbalimbali nchini ikiwemo Yanga lakini baadae akaibukia Singida Big Stars na sasa Ihefu.