PRIME Simba yatoa masharti mazito kwa Kibu, Mwamyeto LAZIMA yafanyike maamuzi magumu. Simba wamemwambia wakala wa mastaa wawili Bakari Nondo Mwamnyeto na Kibu Denis achague moja au akose yote.
PRIME Ngoma aipa masharti Simba KIUNGO mkabaji wa Simba, Fabrice Ngoma amewapa masharti uongozi wa klabu hiyo, kama wanataka aendelee kusalia kikosini hapo, wasajili wachezaji wenye moyo wa kuipambania timu.
Refa Msudani kuamua Azam vs Simba, viungo kuibeba mechi ITAKUWAJE? Ndilo swali linalogonga vichwa vya mashabiki wa soka nchini kuhusu kukosekana kwa mshambuliaji wa Azam FC Mzimbambwe Prince Dube katika mechi ya leo ambayo wakali hao wa Chamazi...
Boban afunguka ya moyoni kuhusu Simba, awauma sikio wazawa, Chama… KAMA kuna wachezaji waliokuwa wanaangaliwa sana uwanjani kama watatoka bila ya kadi, mmoja wao ni Haruna Moshi ‘Boban’, kiungo wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars ambaye pia aliwahi kucheza...
Uongozi ngumi za kulipwa wasimamishwa Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) umesimamishwa kupisha uchunguzi.
Chukwu amtaja Aziz KI, afunguka dili la Yanga MORICE Chukwu ni majina ambayo yalitikisa wakati wa dirisha dogo la usajili akihusishwa na timu mbalimbali nchini ikiwemo Yanga lakini baadae akaibukia Singida Big Stars na sasa Ihefu.
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kibu Denis ni mbadala wa Lomalisa? Huenda Kibu Dennis ndiye mchezaji Bora msimu huu mzawa wa Simba na ambaye akikosekana, watu wanashika kichwa.
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Ni Dortmund na Madrid fainali ya Mabingwa Ulaya Mabao mawili ya dakika za majeruhi yaliyofungwa na Mato Joselu yalitosha kwa Real Madrid kupindua meza na kuichapa Bayern Munich mabao 2-1 na kutinga kibabe fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...