Thank You! Simba yamuaga Benchikha, Mgunda apewa timu Benchikha anatarajiwa kuondoka na benchi lake la ufundi lote na Simba inatarajiwa kuwa chini ya Suleiman Matola wakati ikimsaka kocha mpya.
Robertinho alivyomuachia gundu Benchikha Benchikha anaondoka akiwa ameiongoza Simba katika mechi 12 za Ligi Kuu, lakini takwimu zinaonyesha mtangulizi wake, Roberto Oliveira 'Robertinho' aliyeachana na timu hiyo Novemba 7, 2023 baada ya...
PRIME MTU WA MPIRA: Kwa Simba hii hata apewe Gamondi haifanyi maajabu Nimeona mitandaoni tetesi Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha ameomba kuondoka mwishoni mwa msimu. Sijui kama ni ukweli ama uongo maana waandishi wengi wa kizazi cha sasa wanapenda zaidi...
Simba yampandia dau beki wa mpira UKISIKIA haishi hadi iishe ndio hii. Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la msimu huu, mabosi wa Simba wameamua kumkomalia beki wa kati wa Coastal Union, Lameck Lawi anayetajwa pia...
Pamba yarejea Ligi Kuu Bara baada ya miaka 22 TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao wamesubiri kwa zaidi ya miaka 20, huku kocha Mbwana Makatta...
Gamondi afichua siri ya 5-0 YANGA imerudi njia ya ushindi baada ya kuichapa Coastal Union kwa bao 1-0 ikiendelea kupunguza safari ya kulifuata taji la 30 la Ligi Kuu Bara, lakini kocha wa Wananchi, Miguel Gamondi akafunguka...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Stori ya Bocco itaisha kishikaji Simba? HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua ukimya wake unasababishwa...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Arsenal, Man City vita bado ngumu VITA ya ubingwa ndani ya Ligi Kuu England imeendelea kuwa tamu, hiyo ni baada ya Arsenal na Manchester City zote kushinda mechi zao leo huku tofauti ya pointi ikiwa ni moja tu kileleni kwenye...