TRA United yawakusanya wataalamu TRA UNITED imeanza kujenga sura mpya ndani ya benchi lake la ufundi kwa kuvuta wataalamu kutoka vigogo wa Yanga na Azam FC, ikiwa hesabu za kuimarisha kikosi hicho msimu huu.
Farid Musa amuibua kocha Coastal Union FARID Mussa anaonekana kuwa miongoni mwa silaha ambazo Coastal Union imekuwa ikizisubiri kwa hamu, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Fikiri Elias, akisema wakati umefika kwa winga huyo kuanza...
Mido Fountain Gate yaongeza mzuka BAADA ya kukosekana kwa kipindi cha miezi sita, kiungo wa Fountain Gate, Daniel Joram ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho, jambo lililomuibua kocha mkuu wa timu hiyo, Fredy Felix ‘Minziro’...
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 24 UTANGULIZI “Jukumu lilikuwa mikononi mwako. Itabidi utupe maelezo ya kina ni kwanini Benjamin ameuawa” “Niwape maelezo gani tena?” “Huna budi kuisaidia polisi. Utakuwa mikononi mwetu hadi...
Mwenge yapata ushindi wa kwanza ZPL MWENGE SC imejiondoa kwenye kundi la timu ambazo hazijapata ushindi katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu baada ya juzi kuwachapa mabingwa watetezi wa ligi hiyo, KVZ bao 1-0.
KMKM hali ni mbaya Ligi Kuu Zanzibar WALIOKUWA wawakilishi wa Zanzibar katika Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu 2026-2027, KMKM, hali yao ndani ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ni mbaya baada ya kukusanya pointi moja kwenye mechi nne...
Gamera azimia, Chipukizi ikiichapa mlandege KATIKA hali isiyotarajiwa, Kocha Mkuu wa Chipukizi United, Suleiman Mohamed’ Gamera’ amezimia uwanjani ghafla baada ya mchezaji wa timu hiyo, Ali Mwadini kukosa bao la wazi.
PRIME Mzozo azichorea Simba, Yanga mchongo wa mabilioni HERI Mzozo ni kati ya Watanzania wenye mchango mkubwa kwenye mpira wa miguu nchini, ametaka Simba na Yanga kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hizo kwa kuongeza nguvu kwenye usajili wa...
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Kesi ya nani bingwa, Morocco au Senegal kusikilizwa Oktoba 8 Hatma ya ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kati ya Morocco na Senegal itaingia hatua nyingine Oktoba 8, 2026, wakati Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) itakaposikiliza rufaa...