Cristiano Ronaldo bado 19 NYOTA wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameendelea kuandika historia katika soka, baada ya kufunga bao lake la 981, akiisaidia Al Nassr kuichapa Neftchi Fergana ya Uzbekistan mabao 3-1 katika Ligi ya...
Carrick: Naelewa shida zenu KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amekiri kuelewa sababu zinazowafanya mashabiki wa klabu hiyo kutaka mabadiliko makubwa, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo mwanzoni mwa...
Simba yaidhalilisha Mashujaa, ikiipiga sita Simba imeendeleza moto wake ikifanikiwa kuichapa kwa kipigo kikali cha mabao 6-1 Mashujaa FC huku wekundu hao wa Msimbazi wakiendelea kujikita juu ya msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mauaji ya kutisha - Sehemu ya 32 Almasi alipowambia hivyo shemeji zake hao waliingia kwenye gari walilokwenda nalo na kuondoka bila kuaga.
Kamishna Mafunzo awatuliza mashabiki KAMISHNA wa Chuo cha Mafunzo, Kanali Khamis Bakari Khamis, amewatoa hofu mashabiki na wadau wa soka kuhusu mwenendo wa timu hiyo ambayo imekuwa ikipata matokeo mabaya katika Ligi Kuu Zanzibar...
Mwinyi aanza na rekodi Ligi Daraja la Kwanza Pemba MSHAMBULIAJI wa timu ya New Stone Town, Khatib Mwinyi ameandika historia ya kufunga mabao matatu (ha-trick) katika Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Pemba.
Zimamoto yapunguzwa kasi Ligi Kuu Zanzibar HATIMAYE vinara wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Zimamoto, imepoteza mchezo wake wa kwanza kwenye ligi hiyo baada ya kucheza mechi sita bila kupoteza.
Kenya yapoteza mechi mfululizo WAFCON NDOTO za timu ya taifa ya Kenya kufuzu robo fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026, zimefifia baada ya kupokea kichapo cha pili mfululizo katika Kundi A ikilala kwa bao...
Carrick: Naelewa shida zenu KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amekiri kuelewa sababu zinazowafanya mashabiki wa klabu hiyo kutaka mabadiliko makubwa, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo mwanzoni mwa...