JIWE LA SIKU: Sinema nyingi na hofu ya Pacome, Aucho Yanga NILIACHANA na pambano la Manchester United dhidi ya Liverpool na kukimbilia uwanja wa Mkapa kutazama pambano la Azam dhidi ya Yanga. Nani alikwambia mpira wa Ulaya unapendwa kuliko Simba na Yanga.
TFF yazibeba Simba, Yanga CAF Kabla timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, kuondoka jana kuelekea Azerbaijan, kucheza mashindano mapya na mafupi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) yajulikanayo kama FIFA Series, kilifanyika kikao...
JICHO LA MWEWE: Upande mwingine wa Fei na Dube unaochanganya zaidi KUNA yule mwandishi aliyewahi kutuambia ‘Pesa zako zinanuka’. Ni kweli ukisoma kitabu chake unagundua kwamba zipo pesa ambazo zinanuka. Lakini kuna mwingine aliyewahi kuandika kitabu akatuambia...
Fei afungukia bao lake kwa Yanga Kiungo wa Azam Feisal Salum, Fei Toto, amesema pamoja na kwamba amefanikiwa kuifunga Yanga, lakini timu hiyo ni bora kwenye Ligi Kuu Bara. Yanga imekubali kichapo cha mabao 2-1 dhidi ya Azam...
Aziz KI hajazifunga saba tu Achana na mechi ya jana usiku wakati kikosi cha Yanga kilipovaana na Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa kiungo Stephane Aziz Ki ni kama anachezea sifa kwa sasa kutokana na...
JIWE LA SIKU: Sinema nyingi na hofu ya Pacome, Aucho Yanga NILIACHANA na pambano la Manchester United dhidi ya Liverpool na kukimbilia uwanja wa Mkapa kutazama pambano la Azam dhidi ya Yanga. Nani alikwambia mpira wa Ulaya unapendwa kuliko Simba na Yanga.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Dk Mwinyi ajitosa ishu ya Zanzibar CAF SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema bado inapambana ili kupata ufumbuzi juu ya suala la timu ya taifa ya soka ya Zanzibar, 'Zanzibar Heroes' la kutopata nafasi ya kushiriki...
Ule utamu wa miaka 1990 umeanza kurudi Zanzibar WALE waliokuwa wakiamini soka la Zanzibar limeporomoka kiasi kwamba isingekuwa rahisi kuwavuta mastaa wa kigeni kwenda kucheza visiwani humo, pole yao. Wadau na mashabiki wengi wa soka visiwani...
JICHO LA MWEWE: Upande mwingine wa Fei na Dube unaochanganya zaidi KUNA yule mwandishi aliyewahi kutuambia ‘Pesa zako zinanuka’. Ni kweli ukisoma kitabu chake unagundua kwamba zipo pesa ambazo zinanuka. Lakini kuna mwingine aliyewahi kuandika kitabu akatuambia...
Wakenya wabeba ndoo Coco Beach TIMU za Kenya, Kwale Kings na Kilifian HC juzi zilidhihirisha kuwa bora katika mchezo wa mpira wa mkono wa ufukweni baada ya kutawala mashindano ya TAHA Open Handball Championship yaliyohusisha...
Dah! Rais wa PSG akomaa kufukuzia saini ya Rashford MIAMBA ya soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain imeweka wazi dhamira yake kuu ya kuhakikisha inanasa saini ya mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford kwa gharama yoyote ile kwenye...