JIWE LA SIKU: Unamkubali? Ona alichofanya uwanjani msimu huu
LONDON, ENGLAND. KWENYE msimamo wa Ligi Kuu England, unasoma Arsenal ipo kileleni na pointi 80 baada ya mechi 35.
Nyuma yao wapo mabingwa watetezi, Manchester City wenye pointi 79 kwenye mechi 34.