PMbet ina michezo mbalimbali mbadala ya mechi zilizohairishwa

PMbet, iliyozinduliwa tu mnamo mwaka wa 2014, ni chapa ya kimataifa ya michezo ya kubahatisha, ambayo, kulingana na tafiti, hivi karibuni imejipambanua kama moja ya watoa huduma bora wa michezo ya kubahatisha mtandaoni nchini Tanzania.

PMbet inatafuta njia mpya za kuongeza uzoefu na wachezaji na inaongeza huduma mpya na bidhaa kila wakati.

Hivi karibuni PMbet imeongeza ofa ya kubashiri kwenye michezo yako pendwa ya vikatuni. Huna haja ya kusafiri kucheza michezo yako yote pendwa ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu au michezo ya meza, ingia tu kwenye akaunti yako ya PMbet, bonyeza michezo ya vikatuni na uangalie ushindi wako unavyokua ndani ya dakika kwani hautastahili kusubiri siku ya mechi kuweka bashiri zako.

Michezo ya Vikatuni inatoa yafuatayo:

·        Ligi ya mpira wa miguu wa vikatuni

·        Mbio za farasi

·        Tenisi ya vikatuni

·        Ligi ya mpira wa kikapu wa vikatuni

·        Mbio za mbwa

Mbali na kuweka bashiri kwenye matukio ya michezo pendwa mtu anaweza kufahamiana na michezo mubashara ya TVBET Unaweza fuatilia michezo yote mubashara na kuona matokeo yako mara moja na hata kupata JACKPOT ya moja kwa moja. Bashiri kidogo na ushindi zaidi kwenye michezo mbalimbali. Utoaji wa TVBET ni pamoja na michezo maalum kama vile:

·        Keno

·        Poker

·        War

·        Jokerbet

·        Wheel

PMbet inatoa uzoefu wa kipekee mtandaoni wa kasino pia. Kuna zaidi ya slots 900 zinapatikana na hatua rahisi za kufanya mazoezi na kufanya mizunguko haraka.

Bonyeza tu Kasino, pata mizunguko na ushinde zaidi. Vivyo hivyo, wanakupa kufurahiya kucheza michezo maarufu kama Keno, ColorBoom na Wheel of Fortune inayopatikana kwenye simu za mkono na komputa na ushindi wa Jackpot kwa kila moja.

Kwa kuongezea, wamejali malipo yako ya haraka na salama kwa kukupa nafasi ya kuchagua njia unayopendelea inayohusisha Tigo Pesa, Airtel, M-Pesa na Halo Pesa.

PMbet pia inafanya kazi sana kwenye Facebook, Instagram ikishiriki matukio yote muhimu, fuata kurasa hizo na baki nasi.

Moja ya faida za PMbet ni upatikanaji 24/7 wa wafanyakazi wa huduma kwa wateja. Unaweza kupokea msaada ukitumia jukwaa lako unalopendelea wakati wowote ukiwa na swali. Kwa majibu ya haraka, unaweza kuandika kwenye CHAT ya moja kwa moja na upate majibu yako mara moja.

PMbet inazingatia mahitaji ya wateja kwa kuwa wakweli kwa kanuni zake za msingi za huduma:

·        Mteja siku zote kwetu ndio wa kwanza.

·        Kuridhika kwake ndio muhimu zaidi.

·        Daima tunajitahidi kuzidi matarajio yake.

PMbet inatengeneza mazingira bora ya ubashiri ili kuhakikisha kuwa wateja wanapata uzoefu wa kukufurahisha zaidi. Anza hivi sasa na PMbet na uwe mshindi mkubwa!