Mo Salah kuliongoza jeshi la Misri Afcon

Thursday June 13 2019

 

Cairo, Misri. Kocha wa Misri, Javier Aguirre ametangaza kikosi cha wachezaji 25 tayari kwa mashindano ya Mataifa ya Afrika kukiwa hakuna mabadiliko yoyote makubwa.

Wenyeji wa fainali za Afcon 2019, wamepangwa Kundi A pamoja na DR Congo, Uganda na Zimbabwe.

Mashindano hayo yatafunguliwa kwa Misri kuivaa Zimbabwe Ijumaa ya Juni 21 jijini Cairo.

Miongoni mwa majina hayo yapo wakongwe Abdallah El-Said na Walid Soliman tayari kwa kuhakikisha Misri inanyakuwa taji hilo.

Kikosi:

Makipa: Ahmed El-Shennawy (Pyramids), Mohamed El-Shennawy (Al Ahly), Mohamed Abou-Gabal (Smouha), Mahmoud Gennesh (Zamalek)

Advertisement

Mabeki: Ahmed El-Mohamady (Aston Villa), Baher El-Mohamady (Ismaily), Ahmed Hegazi (West Bromwich), Mahmoud Alaa (Zamalek), Mahmoud Hamdy El-Wensh (Zamalek), Ahmed Ayman Mansour (Pyramids), Omar Gaber (Pyramids), Ayman Ashraf (Al Ahly), Ahmed Aboul-Fotouh (Smouha)

Viungo: Tarek Hamed (Zamalek), Mohamed Elneny (Arsenal), Ali Ghazal (Feirense), Nabil Emad Dunga (Pyramids), Walid Soliman (Al Ahly), Abdallah El-Said (Pyramids), Mohamed Salah (Liverpool), Mahmoud Hassan Trezeguet (Kasimpasa), Amr Warda (Atromitos)

Washambuliaji: Ahmed Ali (Arab Contractors), Marwan Mohsen (Al Ahly), Ahmed Hassan Kouka (Olympiacos)

Advertisement