Madagascar full mziki kuiduwaza Afcon

Wednesday June 12 2019

 

Cairo, Misri. Bosi wa Madagascar, Nicolas Dupuis ameita nyota 23 tayari kushiriki kwa mara ya kwanza fainali za Afcon, Misri.

Madagascar imepangwa pamoja na Nigeria, Burundi na Guinea, inategemea kuendeleza miujiza yake iliyofanya kwenye mashindano ya mtoano.

Kikosi hicho cha Madagascar katika mashindano ya kusaka kufuzu ilionyesha kitu cha kipekee na kuwasaidia kufuzu kwa fainali hizo kubwa za Afrika.

Kocha Nicolas Dupuis ameita wachezaji 23 kwa lengo la kuhakikisha wanafanya vizuri katika fainali hizo za Misri.

Kikosi:

Makipa: Ibrahima Ousmane Arthur Dabo, Jean Dieu Donne Randrianasolo, Melvin Andrien.

Advertisement

Mabeki: Pascal Razakanantenaina, Dimitry Caloin, Jeremy Michel Morel, Toaviina Hasitiana Rambeloson, Romain Metanire, Thomas Fontaine, Jerome Mombris, Mamy Nirina Gervais Randrianarisoa.Article continues below

Viungo: Marco Ilaimaharitra, Anicet Andrianantenaina, Ibrahim Samuel Amada, Jean Rakotoarisoa, Lalaina Henintsoa Nomenjanahary, Rayan Ny Aina Arnaldo Raveloson, Andriamiraldo Aro Hasina Andrianarimanana.

Washambuliaji: Charles Carolus Andriamahitsinoro, Faneva Ima Andriatsima, Tsilavina Martin Rakotoharimalala Njiva, Paulin Voavy, William Joseph Gros.

Advertisement