Lwakatare amfunika Kevela

Muktasari:

  • Katika uchaguzi huo, Lwakatare alitetea kiti chake cha urais kwa kupata kura 13 kati ya 12 za mpinzani wake, Yono Kevela huku mgombea mwingine, Samwel Sumwa alipata kura nane.