CHA JUU BOOST OFA KABAMBE KUTOKA BETIKA!

Friday October 16 2020
betika pic

Kampuni ya kubashiri inayokuwa kwa kasi zaidi nchini Tanzania BETIKA! imekuja na ofa babkubwa kwa wateja wake. Ofa hii inawapa wateja wa Betika uhakika wa kutabasamu mara tu muamala unaposoma katika simu zao. Ofa hiyo siyo nyingine ni Cha Juu Boost  ambayo inakupa wewe mchezaji uwezo wa kushinda zaidi kupitia mechi maalum zilizochaguliwa na kupatikana ndani ya website ya www.betika.co.tz .

Cha Juu Boost ya Betika inakupa nafasi nzuri ya wewe kushinda zaidi baada ya kuweka ubashiri wenye odds za kuanzia 19.99 au zaidi.

VIGEZO NA MASHARTI  YA KUCHEZA CHA JUU BOOST

·  Cha  Juu  Boost inakuzawadia mchezaji 25% ya zaidi kwenye ushindi wako..

·    Kutakuwa na mechi maalum zilizochaguliwa kwaajili ya Cha Juu Boost.

·  Kiasi cha chini cha Odds ni 19.99 na dau la kubet linaanzia shilingi 100 huku kiwango cha juu     cha   ushindi baada ya kudaka Cha Juu chako ni shilingi 30,000,000.

Advertisement

·  Wakati wa Kubetika utatumia pesa halisi na siyo salio lako la bonus.

Betika tayari wamejizolea sifa kwa ubora wa huduma na Odds kubwa sokoni lakini hilo halijatosha wameamua kukuletea Cha Juu Boost itakayozifanya ziwe BabKubwah! Ebu pata picha unaposhinda alafu ukute ushindi wako umeongezwa  kwa 25%.  Usipitwe Jiunge sasa, Shinda Ujazwe zaidi na BETIKA! 

Betika chaguo la mabingwa.

 

Advertisement