Avuna mamilioni ya Sportpesa

Muktasari:

  • Mshindi huyo alinyakua fedha hizo Sh 4,693, 432 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 14 wiki iliyopita na kukabidhiwa fedha zake na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa SportPesa Tanzania, Luca Neghesti.