SHINDA KWA KISHINDO NA BETIKA! WASHINDI KULAMBA MAMILIONI KIBAO

Sunday September 20 2020

 

Kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania, Betika, imekuja na kampeni ya kipekee kabisa kwa mabingwa, Twende Kibingwa. Twende Kibingwa ni kampeni ambayo, imekujia mahususi kunogesha na kuongeza ladha ya kitofauti ya michezo unayoipata mchezaji pale unapocheza kupitia www.betika.co.tz 

Kampeni hii imekuja na tafu la kibingwa linalokupa mzuka kwa ofa za kibabe kama Jisajili ulambe 1,000. Hii ni ofa mtelezo ambayo wewe mtumiaji mpya wa Betika unalamba buku linalozama katika akaunti yako chap bila kuchelewa mara tu utakapokamilisha hatua chache na rahisi sana za kujisajili katika mtandao wa Betika.

Kujisajili na betika, bofya hapa http://betika.co.tz/  weka nambari yako ya simu ukianza na 255 bila 0 wala (+) kisha chagua SAJILI chap buku linateleza kwanye akaunti yako na papo hapo unaanza kucheza.

Kama hiyo haitoshi tafu la kibingwa halikuachi bali linaendelea kutembea na wewe, na kukupatia bonus kila unapoongeza mkwanja kwenye akaunti yako ya Betika, kuanzia buku mbili na Zaidi.

 Bonus hizi unaweza kuzitumia kucheza Kitonga Deile Jackpot na ukalamba shilingi 1,000,000 kila siku kwa dau la shilingi za kitanzania 250 tu. Kitonga deile Jackpot ni Jackpot inayopatikana Betika pekee yake, mchezaji anaweka dau dogo la shilingi 250 huku mechi zikiwa ni 8 tu!

Tofauti na Jackpot nyingine zenye mechi 13 huku ukitakiwa kuweka dau la kuanzia 2,000. Mseleleko huu wa Kitonga umewapata mabingwa 6 ndani ya kipindi cha mwezi mwezi mmoja pekee, huu ni ushahidi kwamba Kitonga deile Jackpot ni Jackpot inayokua kwa kasi. Kasi inayochagizwa na unafuu pamoja na urahisi wake kucheza.

Advertisement

Kucheza kitonga Deile Jackpot, bofya hapa http://betika.co.tz/kitonga

Tafu jingine la kibabe kati ya mengi, ni uwezo wa kujiachia na gemu moja yenye masoko kama yote. Hapa unaweza kubetika Kona, Penati, Kadi nyekundu, Kadi ya njano, Timu ya kwanza kufunga goli, Mfungaji wa goli na kadhalika kwa dau la kuanzia shilingi 100 tu na kushinda hadi shilingi 2,000,000.

Kazi imebaki kwako bingwa. Kubetika na Uhuru Beti, zama http://betika.co.tz/uhurubeti

JINSI YA KULIPIA

Ni rahisi sana kama kusema iyooooo. Fuata maelekezo yafuatayo kulingana na mtandao wako.

KWA WATEJA WA TIGO

Piga *150*01# kupata menyu ya tigopesa, kisha chagua 4 “Lipa Bili” kisha chagua 3 “Ingiza namba ya kampuni” ambayo ni “545454" kisha ingiza namba ya kumbukumbu (namba yako ya simu) na mwisho weka kiasi (kuanzia Sh 1,000) kisha weka neon lako la siri.

KWA WATEJA WA VODACOM

Piga *150*00# kupata menyu ya M-Pesa, kisha chagua 4 “Lipa kwa M-Pesa, kisha bonyeza tena  4 “ Weka namba ya kampuni” ambayo ni “545454”kisha ingiza namba ya kumbukumbu (namba yako ya simu) kisha weka kiasi (kuanzia Sh 100) kisha weka neon lako la siri.

KWA WATEJA WA AIRTEL

Piga *150*60# kupata menyu ya Airtel Money kisha bonyeza 5 “Fanya malipo” kisha  4 “Ingiza namba ya kampuni” ambayo ni “545454″ na kisha kuweka  kiasi (kuanzia Sh  100) kisha ingiza kumbukumbu namba (namba yako ya simu) kisha weka neno lako la siri.

Sasa unajua kwanini betika.co.tz ni Chaguo La Mabingwa na kwanini  inakua kwa kasi kwenye ulimwengu wa michezo ya kubashiri.

Katika kipindi ambacho ulimwengu wa michezo una  hamu ya kuungana tena na mpira wa miguu hata kwa masharti, ni hakika inasisimua sana kwa wapenzi wa mpira wa miguu kupata jukwaa la kucheza na kushinda. Twende Kibingwa!.

Betika! Chaguo la mabingwa Tanzania

Advertisement