Nyuma ya Pazia: Wachezaji kama Origi wanaudhi kweli kweli

Muktasari:

Alifunga bao muhimu dhidi ya Newcastle. Bao lililoamua mechi na kuipa ushindi Liverpool  dakika za mwishoni kabisa. Vipi kuhusu mechi ya Liverpool na Barcelona pale Anfield? Barcelona ilihitajika kushinda mabao 4-0.